RIT:
Jambo / jambo bwana / habari gani / mzuri sana,
wageni mwakaribishwa / Kenya yetu / hakuna matata.
1) Kenya nchi yetu – Hakuna matata
Tunapenda wageni – Hakuna matata
RIT
2) Kenya nchi nzuri – Hakuna matata
nchi ya kupendeza – Hakuna matata
RIT
3) Hapa nchini Kenya – Hakuna matata
Twaishi kwa upendo – Hakuna matata
RIT
4) Hapa nchini Kenya – Hakuna matata
Twaishi kwa Furaha – Hakuna matata
RIT